Modernist stage from DJ. Don Nalimison to Civilian Coin

Mtemi mpaka siku ya kwenda Jehanam, aisee utakuwa na majina zaidi ya 200 na ushee!! Yaani uki wagoogle tu ndugu zako wa damu wa Marekani, tayari na wewe unabadili jina!! 😁😁😁

Halafu hiyo namba 4 mbona umechapia? Ulikuwa ukifahamika kama Mwl Deo Kisandu wa Mkolani Sekondari! Baada ya kutoka jela kule Kitengule, ulibadili jina na kujiita DON NALIMISON!! Na baada ya hapo ndipo ukaja kwenye hili la sasa la DJ NALIMISON!

Na bado lile jina lako lingine la NALIMI CURTIS (Mtoto wa Mmarekani mweusi) baada tu ya kutuambia Mzee Kisandu wa Shinyanga siyo baba yako mzazi! Mweh!!! 🤔 Mtemi kiukweli unatuvuruga mashabiki wako!!! Sasa unataka tukutambue tena kama CIVILLIAN COIN!! Kwa hiyo baba yako mzazi sasa ni COIN, au!!
 
Don kama don..karibu uraiani...siasa zitakufedhehesha..endelea kutupa magoma ya maana..kama ile ya go away.

#MaendeleoHayanaChama
 
deo kasandu mtu mbadi.
 
Hili Ni jina la Kizalendo na Ni jina moja yaani Civilian Coin. Kwa kuyaandika Ni majina mawili lakini kimantiki Ni jina moja TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…