Modernist stage from DJ. Don Nalimison to Civilian Coin

Kumbe walichemka toka mwanzo walipokupa jina Mashaka nadhani hapo ndipo matatizo yalipoanzia
 
Mwamba umetisha mnoo.
Umejipanga fresh.
Haters lazima wakukome.
Mimi nina uhakika lazima uvivae viatu vya Hamza, lazima utakuja kufanya kitu tu dhidi ya hawa watawala dhalimu.
 
😂kwetu sisi Don ni mburudishaji sio kichaa
Ni kweli. Huwa nawaza huyu mtu hatima yake ni nini. Manake haendani na Dunia hii kabisa. Mtu hajamudu hata changamoto za kawaida za huko kwao Kahama lakini anaweza kwenda the Hague. Daaah!
 
Ni kweli. Huwa nawaza huyu mtu hatima yake ni nini. Manake haendani na Dunia hii kabisa. Mtu hajamudu hata changamoto za kawaida za huko kwao Kahama lakini anaweza kwenda the Hague. Daaah!
jamaa kapoteza kazi huyo,alipitia misuko suko
 
Ngoma mpya lini?
 
Hivi mwenzetu yaani umebakiza tusiku tuwili tu usherehekee mwaka mpya kwa kalenda yako mwenyewe
 
Mkuu naomba unipe darasa la hiyo dance...
Amero means America styles of dancing. Nimetumia mchanganyiko wa style za Wasanii wa Kimarekani takribani 10 kwa kuziboresha kiuchezaji. Nakuonekana Ni uchezaji wa kipekee.
Watch my new truck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…