Nkosi Sekeleli
Member
- Jan 29, 2014
- 35
- 37
Wana JF Jina CHOGGA limekua likitajwa miongoni mwa wana Siasa nguli wa Taifa kuanzia 1960s-90s
Inasemwa Mwanasiasa huyu alikua Mbunge wa Iringa kusini(1963-65),Yeye Pamoja na wenzake 8 walifukuzwa Bungeni baada ya kutofsutiana na Mwl.Nyerere,Akifukuzwa Bungeni akiwa na Wabunge wenzake kama Tuntemeke Sanga,Kibuga,Anangisye wa Mbeya na Joseph kasela Bantu wa TABORA
Naomba msaada wa Ufahamu kwa mwenye kufahamu Taarifa sahihi za mtu huyu