buffalo44 JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 4,678 Reaction score 11,357 Mar 28, 2018 #1 Mod thread yangu mumeipeleka jukwaa ambalo sina privileged nalo. Thread yangu haiko kichochezi iko simple tu kwa ajili ya maswali kuhusu Mungu. Nawaomba nasi mnirudishie ina ujumbe kwa maswali ya wengi. Please. @Invisble Moderator 5 @jamiiforum
Mod thread yangu mumeipeleka jukwaa ambalo sina privileged nalo. Thread yangu haiko kichochezi iko simple tu kwa ajili ya maswali kuhusu Mungu. Nawaomba nasi mnirudishie ina ujumbe kwa maswali ya wengi. Please. @Invisble Moderator 5 @jamiiforum
Moderator Supervisor JF Staff Joined Nov 29, 2006 Posts 703 Reaction score 1,151 Mar 28, 2018 #2 Mkuu, kama huna access tafadhali tuma PM kwa JamiiForums uombe utapatiwa (kama unakidhi vigezo). Haiwezekani uzi huo kupelekwa Jamii Intelligence. Asante.
Mkuu, kama huna access tafadhali tuma PM kwa JamiiForums uombe utapatiwa (kama unakidhi vigezo). Haiwezekani uzi huo kupelekwa Jamii Intelligence. Asante.