Modification ya Subaru Forester

Tibalikwenda

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2020
Posts
284
Reaction score
604
Wakuu nahitaji kuongeza seat za gari tajwa hapo juu siwe sita au 7 kwa ajili ya watoto kukaa Mana ninafamilia kubwa wapi naweza mapata mafundi was kufanya hyo kaz kwa dar.gari Subaru Forester ya 2005.siti siongezwe kwa kule nyuma pa kuwekea mizigo.
 
Nenda Kinondoni Biafra mtaa wa block 41 utakutana na wajuzi wa kutengeneza seat covers
 
Kwahiyo mkuu huyu jamaa akitengeneza seat cover tu atapata space ya kutosha hiyo familia yake kubwa?
Au mimi ndio sijamuelewa mtoa mada?
Wanadesign Siti Kwa style ambayo utahitaji Ila space ya ndani itabaki kama ilivyo isipokuwa Ile siti wanaweza kutengeneza Kwa style nyingi
 
Kuna yule jamaa nimesahau jina hapo Ada Estate anadeal na subaru tu. Sema bwana niwe honest, anacharge sana wakati vitu wanachukulia hapo kariakoo. Ni kwakua amechagua kudeal na subaru basi kila mru anaamini vitu vyote ni genuine. Jaribu hapo uangalie gharama kisha compare na kungine wadau watakapokushirikisha. Ubora pia una umuhimu. All the bests
 
0-60 0-60 autogarage
 
Kwahiyo mkuu huyu jamaa akitengeneza seat cover tu atapata space ya kutosha hiyo familia yake kubwa?
Au mimi ndio sijamuelewa mtoa mada?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hata ww umejiuliza kama mm, maana mtu anataka kuongeza seat, zen mtu anamwambia akashone seat cover, labda hao wanaoshona seat cover wanauwezo wa kuongeza na seat pia.
 
Kwa 0-60 au kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…