Tuliokuwa tunaponea tapatalk nako siku hizi hiwezi kulogin, hawa jamaa wanajiamlia sana mambo, na hili ndo tatizo la monopoly, hawana hofu yeyote wanajua tutaingia tu jf!Km hawataki hii ibadilishwe, bas wairudishe ya zamani, ili kila mtu ajue anataka kutumia ipi, hii inachosha na kuboa kabisaa,
😏😏
Niliona posts kadhaa zikielezea shida ya new JF application, sikuwa naelewa. Baada ya ku-download ndiyo nimegundua.
Kwa kweli hii new application ya JF, inaleta ugumu namna ya kuchangia, kwa sababu unapoandika, huoni hata unachoandika, ukifungua uangalie ulichoandika, kama umekosea, ukitaka kurekebisha, unapoanza kufanya marekebisho, huoni unachoandika.
Kwa vyovyote, hii new application itakuwa ililenga kuboresha na kurahisisha, lakini kwa bahati mbaya kuna maeneo imeleta ugumu badala ya urahisi.
Mods, kama inawezekana, tunaomba yafanyiwe marekebisho makubwa kwenye hii new application, maana, kwa namna ilivyo, ni tatizo.
Truth be told, the new edition is a botched improvement. Nilifanya makosa kuipakua. Sasa nimelazimika kuwa natumia web browser kuingia JF.Niliona posts kadhaa zikielezea shida ya new JF application, sikuwa naelewa. Baada ya ku-download ndiyo nimegundua.
Kwa kweli hii new application ya JF, inaleta ugumu namna ya kuchangia, kwa sababu unapoandika, huoni hata unachoandika, ukifungua uangalie ulichoandika, kama umekosea, ukitaka kurekebisha, unapoanza kufanya marekebisho, huoni unachoandika.
Kwa vyovyote, hii new application itakuwa ililenga kuboresha na kurahisisha, lakini kwa bahati mbaya kuna maeneo imeleta ugumu badala ya urahisi.
Mods, kama inawezekana, tunaomba yafanyiwe marekebisho makubwa kwenye hii new application, maana, kwa namna ilivyo, ni tatizo.
Nikajua Mimi tu nimebaki na yazamaniPoleni, natamba na ya zamani...