bro dyu tunakatisha tamaa mpaka na robo tena? dyu[emoji23][emoji23][emoji23]subiri ifike na robo
aiseee kweli kila jambo lina changamotoWatu tuna zaidi ya hiyo lakini hatujawah kupaona...
Wewe bado ni mtoto angalau ufike 25+
aiseeeBado sana ww mpaka ukue na ujue style za wa kubwa kama
Popo kanyea mbingu
Kumbunga kimembeba chatu and nk
Subira yavuta heri... ni muda kidogo tu huobro dyu tunakatisha tamaa mpaka na robo tena? dyu
mm nimetimiza waliniambia under ageKama umetimiza miwaka 1 humu JamiiForums basi watakuruhuu lakini kama haujatimiza endelea kusubiri
Kumbeeeeeeeeeemm nimetimiza waliniambia under age
Acha roho mbayaSubiri ukue kwanza halafu kule kumejaa ujue [emoji23]
Nimenza lini young mm kuwa na roho mbaya jamaniAcha roho mbaya
Mbona wamkatalia dogo, wakati unajua kule mambo mazuriNimenza lini young mm kuwa na roho mbaya jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu unajua siku nilivyokuona kule nilishangaa sanaWe si ndio mod Paw muingize basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu unajua siku nilivyokuona kule nilishangaa sana