Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Du kweli umeranduka
Nawapa masaa 2, wasipo nipeleka namwaga mchele hapa MMU.
Nyetuka kabisa...
Mmmh mtoto Evelyn Salt! Wallah maneno yako yamentia joto!
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuuMwaga hapa hapa tufaidi wengi, hata mimi kwenye Jukwaa la wakubwa sijawahi fika achana na kuliona tu. Kule nasikia wamejifungia memba wachache wanapeana raha.