Elections 2010 Mods tusaidie

Elections 2010 Mods tusaidie

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Najua kuwa JF ni jukwaa la watanzania wa kada mbalimbali. Kwenye home page kuna kura ya maoni inayohoji ni nani anayekubalika zaidi kuwa raisi. Majibu yake wote tumeyaona. Lakini tunajua kuwa upepo wa siasa unaweza kubadilika hata overnight.

Kutokana na kuwa kampeni zimeshaanza, na mengi yameshasemwa, wa kutoa sera wameshatoa, wa kuchafua wenzao wameshachafua, naomba mod u-renew hiyo kura ua maoni tuone mwelekeo wa upepo kwa sasa. Ahsante.
 
Ku renew maana yake ni wewe upige kura pale jaribu ku vote uone kama haitabadilika automatically huna haja ya kuwaambia Mods.
 
Back
Top Bottom