Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
Habari WanaJF wenzangu,
Nina ombi moja kutoka kwenu hasa kwa mwenye ufahamu ili muweze kunisaidia..Mim natarajia kufanya CPA exams mwezi May 2013 module F,ila sasa sijajua ni Center gani wanayofundisha hapa mjin DSM kwa vile mm si mwenyeji sana wa hili jiji ila tu nimehamia huku kikazi mwezi huu (December 2012)..Hivyo naomba kama unajua ni Center ipi au mwalim yup anayefundisha vizuri,nifahamishe either kwa DM au kwa kuweka COMMENT tu,nitafurahi sana!!!
Naomba kuwasilisha