MOEVT Imekula kwenu!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Taarifa kutoka vyuo mbalimbali vya Ualimu wa Sekondari ( T.T.C) zinasema kwamba mpaka tarehe 20/08/2012. idadi ya wanachuo waliochaguliwa kwenda kusomea stashahada ya elimu ni wachache mno pamoja na kuwa deadline ya kuripoti ilikuwa ni tarehe 12/08. Moevt imekula kwao kwani walishindwa kujua kuwa idadi kubwa ya waliokuwa wametuma maombi walifanya application vyuo vikuu, nao wakawachagua kwenda vyuoni. Kwa sasa wategemee kukosa idadi kubwa ya wanafunzi kwani kinachosubiriwa sasa ni tamko kutoka bodi ya mikopo ili wadau wafanye maamuzi ya wapi kwa kuelekea.
 
Duh! Pole yao,mimi mwenyewe Korogwe nimewaweka pending...nasubiri loan board watangaze kwanza. Nikipata mkopo wa kutosha,ndo hivyo wanisahau kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…