Moevt kwani ni lazima msubiri maandamano?

Moevt kwani ni lazima msubiri maandamano?

miemwenye

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
31
Reaction score
0
Ndugu wanajamii, hivi kweli ni haki kwa wizara kwenye tangazo lake kuandika kuwa imeajiri walimu wote wenye sifa wakati huo sio ukweli jamani? katika kipindi hiki ambacho inchi inashuhudia anguko kubwa la elimu, hivi kweli wizara inaweza kukaa tuu bila kuwaajiri walimu hawa/ kama inampango wa kuwaajiri mbona iko kimya? au bajeti hakuna? namuomba waziri afanye hima kuwaajiri walimu hawa ili watanzania wa kawaida wapate haki yao ya elimu, sio lazima kila kitu watu wafanye maandamano mana hili lipo ndani ya uwezo wa wizara.
 
Back
Top Bottom