Mofaya kuwa main sponsor wa coastal union 2018/19

Mofaya kuwa main sponsor wa coastal union 2018/19

Dah aiseee wakati ex anapaishwa hadi kuwa DC kiba anashuka kuwa mwanasoka kijeba
 
Nasikia Barcelona nao wako mbioni kumsajili Q Chilla
 
Dah aiseee wakati ex anapaishwa hadi kuwa DC kiba anashuka kuwa mwanasoka kijeba

its a marketing strategy nikatika kuongeza idadi ya watu wanoifuatilia timu ya coastal union..

maana kuna kila dalili ya dili la biashara ya udhamini

kiba hatoingia kucheza mpira ila timu itatumia nembo inayomuhusu kiba kwenye jezi zao
 
Back
Top Bottom