Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jul 30, 2018 #21 Kiba huwa anacheza mpira hivyo uwanjani ataingia vizuri tu Jimmie Gatsby said: its a marketing strategy nikatika kuongeza idadi ya watu wanoifuatilia timu ya coastal union.. maana kuna kila dalili ya dili la biashara ya udhamini kiba hatoingia kucheza mpira ila timu itatumia nembo inayomuhusu kiba kwenye jezi zao Click to expand...
Kiba huwa anacheza mpira hivyo uwanjani ataingia vizuri tu Jimmie Gatsby said: its a marketing strategy nikatika kuongeza idadi ya watu wanoifuatilia timu ya coastal union.. maana kuna kila dalili ya dili la biashara ya udhamini kiba hatoingia kucheza mpira ila timu itatumia nembo inayomuhusu kiba kwenye jezi zao Click to expand...
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,587 Reaction score 7,272 Jul 30, 2018 #22 Numbisa said: Kiba huwa anacheza mpira hivyo uwanjani ataingia vizuri tu Click to expand... hahah.... itakuwa kama trump kipindi kile alivyoingiaga dili za kibiashara na WWE ambazo zilimfanya aingie ulingoni kupigana mieleka ππππ
Numbisa said: Kiba huwa anacheza mpira hivyo uwanjani ataingia vizuri tu Click to expand... hahah.... itakuwa kama trump kipindi kile alivyoingiaga dili za kibiashara na WWE ambazo zilimfanya aingie ulingoni kupigana mieleka ππππ
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,805 Aug 1, 2018 #23 hahahah na mwenyew kucheza huko bada ya kushindwa kuimba.
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Aug 3, 2018 #24 Hichi kinywaji naweza kipata wap mm mshabik wa coastal union nataka nikijaribu