Hapa Moga na Bunju Beach umeme unakatika kila siku asubuhi na kurudi jioni, mfano Septemba 18, 2026 walikata Saa 4 Asubuhi na kurudisha kama Saa 8 mchana lakini huwa mpaka saa 1 Jioni huwa ndio unarudi.
Imekuwa kawaida kuna muda unakata then unarudi, wanafanya hivyo sana, mara nyingi hatupewi taarifa.
UFAFANUZI WA TANESCO...

Habari ndugu mteja,
asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto hiyo, tumepokea taarifa yako kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji na utekelezaji, lakini tafadhali tupatie namba ya simu ikiwa wataalamu wetu wetu watahitaji kufanya mawasiliano nawe kwa...