LGE2024 Mogella: Wana CCM jiepusheni na vurugu katika uchaguzi

LGE2024 Mogella: Wana CCM jiepusheni na vurugu katika uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kutojihusisha vitendo vya Uvunjifu wa amani katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na badala yake Wajitokeze kupiga kura kwa kuwachangua viongozi wa Serikali za Mitaa ili waweze kusimamia shughuli za maendeleo katika Maeneo yao.

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024


Agizo hilo amelitoa wakati akifunga Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Sokoine kata ya Kitangiri mkoani Shinyanga ambapo amesisitiza suala la uzingatiaji wa Maadili katika Uchanguzi huo, ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu.
 
Back
Top Bottom