Mohamed Dewji: The first Tanzanian on Forbes magazine

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
18,772
Reaction score
8,939


Mjasirimali mchapakazi na Mbunge Kijana nchini Tanzania, Mohammed Dewji (MO) ametajwa katika jarida la Kimataifa la mabilionea duniani katika Nyanja za biashara (Forbes Africa agazine) kama mjasirimali mwenye umri mdogo mwenye mafanikio ya kuigwa hapa Afrika na duniani kwa ujumla taarifa la Jarida hilo limeeleza.

Kwa mujibu wa taarifa hizo toka kwa Jarida hilo la Forbes African Magazine linasema amekuwa Mtanzania wa Kwanza kupata kuhojiwa na (Forbes Magazine) mafaniko, changamoto na matatizo kadhaa kwenye uwanja wa biashara kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati.

Mo akihojiwa na Jarida hilo alisema toka kwenye masaa mia moja kwa wiki na kutengeneza faida ya Millioni 85 dola za kimarekani! Ni mafanikio makubwa katika biashara Afrika. Anasema ni safari ya takribani miaka 12 ya ushindani wa kibiashara ndani ya mipaka ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

"Nani anaweza kufikiri kwamba tunaweza kubadilisha biashara yetu toka Millioni 50 za kimarekani hadi dola Billioni 2.1 ndani ya miaka 12 tu,' alinukuliwa akisema.
 
Thubutu! Huyo jamaa kodi ya PAYE anayolipa kama mkuruguenzi (director's fees) kwa mwaka ni sawa na PAYE anayolipa mfanyakazi wa mshahara wa kima cha kati serikalini kwa mwaka!

Huku Tanzania kodi ni kwa mtindo wa regressive i.e. mnyonge muuweni
 
When Mr Gulam Dewji, a Tanzanian businessman called his son Mohammed to come back to Africa and join a family business about 14 years ago, little did he know that this would create a multi-million dollar business.

Being a young graduate of Georgetown University in Washington D.C, Mohammed's interest was in building a career in international business and finance.

Life hardships in a foreign land left him with no option but to heed his father’s call to come back home. He has now built a strong company. Like any other graduate, Dewji Jr, popularly known as Mo, got a job at Wall Street after graduating, he told Forbes magazine.

The American biweekly published his photo on its front cover of its June 1, 2013 edition.

At Wall Street, Mo worked 100-hour weeks and earned an annual salary of $40,000, with an added bonus of $20,000.

But a good chunk of that money went to taxes, making life difficult for him.

"Thirty per cent went to taxes, $30,000 to pay my rent in Manhattan and what I was left with was barely enough to build the life that I wanted…I asked my father to give me more money but, being a practical man, he simply said he would not send me any money and that there was opportunity for me to come back to Tanzania," he recalls.

New era

So he returned to Africa in 1999, heralding a new era at Mohammed Enterprises Tanzania Limited (METL).

During that time, the company was a trading house that mostly dealt with commodities with an annual revenue of $26 million. His first move then was to seize opportunities as they arose and privatisation was one of those things he decided to benefit from.

"I recognised that there was tremendous opportunity for business growth particularly in the manufacturing sector," he says.

Then he also thought about starting up an edible oil refinery.

"Naturally, my father felt this was a risky move so I borrowed $1 million from my father and bought a soap plant that manufactured one tonne per hour," he said.

At present, that factory produces 20 tonnes an hour. He then proceeded to buy an edible oil refinery with a capacity of 60 tonnes a day. With time and further investments, its capacity today is at 2,200 tonnes a day.

Repaid loan

Mo managed to repay that loan to his father, something that gave him (his father) the confidence in the way forward in terms of growth for METL.

"For him, it was a huge shift from what he knew as a trading business that he started from scratch, to moving towards a more corporate structure and vision for METL as a group of companies. Today, our projected revenue for 2013 is just over a billion dollars in Tanzania alone, we employ more than 24,000 people," Mo told Forbes.

The company has diversified in trading, manufacturing, agriculture, financial services, real estate, mobile telephony and distribution.

In Tanzania alone, the group has over 31 industries in manufacturing ranging from textiles and detergents, to edible oils, plastics and grain milling.

In agriculture, the company owns over 60,000 hectares. It also grows cotton. It also gins, spins, weaves, processes and prints – producing 100 million metres of cloth/year.

"The revenue from our group of companies constitutes a little over 3 per cent of the GDP of Tanzania and employs 5 per cent of the formal employment sector,” he says.

Not satisfied

But he is not satisfied yet. The company which also has operations in Malawi, Mozambique, Zambia, Dubai and moving into Uganda, is looking into having a strong presence in East and Central Africa.

"Our vision is that by 2018 the METL Group will have an annual revenue of $5 billion and employ 40,000 people," he says.

Thus in short, the company has grown 30 fold in the last 14 years. “If someone asks me who is smarter between my father and I, my one answer is that it is my father! Why? Because to make money from money is easier than to make money from nothing," he says.

Apart from business, 38-year-old Mo is a politician. He is the Singida Urban MP.


The article from THE CITIZEN
 

Attachments

  • image.jpg
    56 KB · Views: 293
  • image.jpg
    39.1 KB · Views: 361
  • image.jpg
    34.6 KB · Views: 376
Is Mohamed Dewji a savvy politician and businessman or is just a Fisadi covered with political and business skin.

In the eyes of most Tanzanian. It's a "malfeasance" to be loaded.

Under 1977 constitution, Our country still under 'ujamaa na kujitegemea' even though majority of politician and business man/woman had not even grasped the basic meaning of these two word, let alone practised.

We hear politician singing against FISADI songs everyday but their own life doesn't even resemble Ujamaa na Kujitegemea philosophy. They live like fisadi and talk like impecunious people. In other word, these people are cunning.

It's tradegy to the nation to have politicians talking like penurious but living high life. The nation need politician who talk the talk and walk the walk.

Is Azimio la Zanzibar gave Mr Dewji a wallet with deep pockets?.

Is Samwel Sitta through Tanzania Investment Centre showed him the way?.

Mtu unatoka marekani na begi la nguo halafu kesho yake unapata mkopo wa $1 million bila hata dhamana. Shetani akupe nini?.

Hata vitabu vya wanaofuata dini zinasema, mwenye nacho katika upepari ataongezewa. Kama wewe ulizaliwa katika familia masikini, walaumu wazazi wako kwa kutokuchakalika.

Hata hivyo hongera zake kwa kuwa mjasiliamali ambaye ananufaisha DIRECT zaidi ya watu 24,000 kwa njia ya ajira nchini na nchi za nje.

Tanzania siyo kama tuijuavyo.
 
anatuhusu nini mwizi tu huyo ndani ya CCM na matawi yao.
 
wafanyakazi wananeemeka kivipi na hicho kipato wanachozalishia kampuni??
 
Ngwanamapalala, "its malfeasance to be loaded in the eyes of most TZs", well, should we blame our founding fathers for implementing that in us through their ideas or the Gov and its broken system?,....am just curious to hear your take in this.
 
Pengine Shose Sinare ndo anayefaidika zaidi. U billionaire wa kuhonga waandishi ndo u billionaire gani. Dogo punguza kujitangaza. Mabillionaires wamezidi bongo. Hadi papa mzamil katunzi ni billionaire
 
I think Bakressa ndio wa kwanza kuwekwa last year kwenye forbes
 
Hili ndilo tatizo kubwa la watz. Mie nilitegemea tungempongeza huyu financial engineer. Chuki na wivu ndo talk of every day kwa wabongo. Ndo ile unalala chini kwa 7bu tu huna hela ya kununua kitanda then unasema kitanda kitu gani mpango mzima ni kulala chini!kuumbe unatamani siku moja upate pesa ununue kitanda. TUACHE WIVU WA KIJINGA...TUKUMBATIE WIVU WA MAENDELEO. Big up Mo..nadhani kwa hili umethibitisha kumng'oa SSB!
 
mapesa yote hayo namshauli ahanzishe foundation itakayo deal na schoralship mimi pia ni muanga nimepata III 25 pesa ya kwenda shuleni kidato cha tano imekosekana wakuu ninaangamiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kumbe ndo maana hoja nzito zinachangiwa kwa hoja nyepesi.
 
Baba ameiba akarithi mtoto mo na babake mzee dewji ni waizi namba moja tanzania. Wameuziwa viwanda vya serekali kwa mkopo. Halaf pia wanachukua mashamba ya wazawa kwa dhuluma. Mkulima anakopa anaacha shambakama dhaman halirudi. Ona mkoa wa tanga mufindi kote huko mzee dewji amedhulumu anaingiza meli ya sukari halipi kodi fisadi mkubwa
 
Hawa wahindi wote warithi.....Tanzania hatuna millionaires or billionaires. ....these all benefactors of corruption and nepotism tendencies where they benefitted from poor liberalisation policies. ...getting cheaper govt industries such as national milling akina Bakhress through corruption....unatuambia...eti there are like bill gates....that is a mockery of hardwork, brilliance and business acumen...... acheni kushangilia wizi wa kazi za wazazi wetu....we should all be ashamed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…