Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Leo Jumatatu, Agosti,1 mfanyabiashara bilionea Mohamed Dewji alikuwa na mkutano na waandishi wa habari, akasema uwekezaji wa 20 bilioni anaotaka kuufanya angeweza kununua timu Ulaya ya daraja la pili lakini anafanya sababu ya mapenzi yake kwa timu ya Simba.
Pia akakosoa shutumia alizotupiwa na viongozi wa Simba na kusema ameshakutana zaidi ya mara tatu na rais wa Simba na ameshakuja ofisini kwake zaidi ya mara tatu.