Hiyo pesa yake ata kununua mchezaji mmoja haitoshi ukiacha kumlipa mshahara huko ulaya...!
Kama unasema timu sasa zinamhitaji mtu kama Mo kwa hiyo wewe hazikuhitaji!?Tuache ulimbukeni. Timu za Tanzania zinahitaji watu kama Mo.
Tunapaswa kubadilika. 20b ni pesa nyingi hapa kwetu
Waache waendelee kushangilia timu za nje.Wapigaji hawataki kutoa timu
Wee endelea kupiga miayo jf wakati mwenzako mtoto wa mjini Mo anaseti michongoHiyo pesa yake ata kununua mchezaji mmoja haitoshi ukiacha kumlipa mshahara huko ulaya...!
Nafikiri uwezo wako wa kusoma na kuelewa kiswahili ni mdogo sana. Mimi nimesema timu za Tanzania zinawahitaji watu kama Mo. Sijasema Simba ndo timu peke yake mkuu. Jaribu kuacha jazba kama siyo lazima.Limbukeni ni wewe unayedhani timu ni Simba tu. Si anunue Maji Maji au Toto Africa!
Kama unasema timu sasa zinamhitaji mtu kama Mo kwa hiyo wewe hazikuhitaji!?
Usije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.Nafikiri uwezo wako wa kusoma na kuelewa kiswahili ni mdogo sana. Mimi nimesema timu za Tanzania zinawahitaji watu kama Mo. Sijasema Simba ndo timu peke yake mkuu. Jaribu kuacha jazba kama siyo lazima.
Kasema ulaya atujui nchi gani ila kama anamapenzi Na Simba kwanini anataka asilimia 51 kwa nini asichukue chini ya asilimia 50 ili nguvu Na maamuzi yasitoke kwa mtu mmoja$10mil hupati Timu ya daraja la pili
Mmmmmhhhh kununua timu nas kuwalipa mishahara bobHiyo pesa yake ata kununua mchezaji mmoja haitoshi ukiacha kumlipa mshahara huko ulaya...!