[emoji57] [emoji19] [emoji13] [emoji13]Simba itashuka daraja tu
Ebo! Si afanye kama Bakhresa. Kwani soka ni kabila kusema huwezi kuanzisha la kwako? Yeye anunue timu ndogo, aibebe ikue tuwe na timu kubwa 4. Au ana lake jambo?wale wale wakina mzee akili mali yeye kasema ni mapenzi yake kwa club ya simba na anaipenda haoni sababu za msingi kuwekeza kwenye timu asiyoipenda hizi ndo figusu figusu alizofanyia mzee bakhresa alipokuwa akiitaka simba akaachana nayo kaenda kuianzisha azam kaikuta simba bado iko vile vile haina hata uwanja nyie ni majipu.
Ebo! Si afanye kama Bakhresa. Kwani soka ni kabila kusema huwezi kuanzisha la kwako? Yeye anunue timu ndogo, aibebe ikue tuwe na timu kubwa 4. Au ana lake jambo?
Sasa hutaki au?Una akili kweli wewe?
Nimetazama press conference yake.Huyu jamaa tapeli jengo la simba pale kariakoo linasimamia ile pesa yote, ukiacha brand ya simba imejengwa for more than 50 yrs. Anataka atumie simba brand kuuzia bidhaa zake
Kwani kinachogombaniwa ni jina SIMBA au utamu wa klabu kupiga soka? Kama ni utamu, Azam imeanzishwa na sasa inapiga ndani na nje ya nchi. Kwani tunavyoongea leo hii saa hii, Yanga anasumbuliwa na nani kati ya Simba Koko na Azam? Bingwa wa Kagame ni nani?huenda leo angekuwepo mzee bakhresa pale simba ingekuwa level za tp mazembe sasa roho ya mtu mweusi ilivyo mnaifanya simba ipiganie nafas sawa na maji maji na mwadui fc bajet yake ya usajili yanga wanamnunua chirwa huoni ajabu hapo naiman simba ikipata mwekezaji yanga kwa mpira anaocheza na hajabalikiwa kupiga mpira mzur angeteseka sana
Weweeeeee! We huruhusiwi kupita njia, please...kaa kitako. Utakuwa vipi mpita-njia ungali una hoja nzito hivi bhana!Nimetazama press conference yake.
Kuna mtego mingi sana.
Simba Kutoa 51% share ya club kwa mali kauli mi hainingii akilini.
Simba wanatakuwa kupata wanasheria makini ambao wata draft mkataba mzuri kuhusu uwekezaji,
J bidhaa zake zitatakiwa kulipa matangazo?
TBL kwa bia ya Kilimanjaro inaipa simba 500mil. Mo ana bidhaa zaidi ya 20 kwenye kampuni yake. Je hiyo 3.7 B a month atakuwa na access ya kutangaza Biashara zake unlimited au products saba tu?
Maswali ni mengi ukikaa na kutafari. Ila ameonesha uthubutu ambao sio rahisi kwa wengi kufanya.
Na why hakufanya kwa Singida UTD na African Lyon??
Kama Simba ina endeshwa kwa Budget ya 1.5B na Yanga 2.5B. Kwa maana hiyo African Lyon au Singida UTD kwa Budget 3.7B wangekuwa na uwezo kifedha Mara 1.5 ya Yanga na Mara 2 ya Simba. Why hakufanya huko??
Sio ahadi hewa , ila zinabidi zijadiliwe.Weweeeeee! We huruhusiwi kupita njia, please...kaa kitako. Utakuwa vipi mpita-njia ungali una hoja nzito hivi bhana!
Kumbe alishashindwa Singida United, leo anaahidi hewa Msimbazi?
Kwani kinachogombaniwa ni jina SIMBA au utamu wa klabu kupiga soka? Kama ni utamu, Azam imeanzishwa na sasa inapiga ndani na nje ya nchi. Kwani tunavyoongea leo hii saa hii, Yanga anasumbuliwa na nani kati ya Simba Koko na Azam? Bingwa wa Kagame ni nani?
Mo kama nia yake mpira, alete mageuzi. Kama anadhani fedha zake zinatosha kuinunua Simba, si ainunue Small Simba ailete Dar, kisha aanze kuwanunua hao anaowaona anawataka ndani ya Simba na soka lisonge mbele. Hapo tutamuita mwanamapinduzi, lakini hili la kutaka kusafiria nyota za watu uchuro huo mkuu
Tupe ukweliSio kweli
Angeiga mfano wa tajiri mwenzake Bakhresa.kaanzisha timu yake mwenyewe na kuiinua mpaka kuwa timu kubwa na tishio ndani ya muda mchache.Imagine MÖ FC,hizi simba na yanga zinazoendeshwa na akili za wale wanachama wazee wasio na ujuzi wala uwezo wakitaalam hata ukiwekeza pesa yako itakupa stress tu na hasaraNimewahi kukutana na kijana mmoja kutoka Scotland na tulivyoanza kuongelea mambo ya mpira kwa 'ushamba' wangu nikawa nadhani ni shabiki wa rangers, celtic au dundee united lakini akanishangaza kwa kusema kuwa yeye timu yake ni ya kutokea kwenye mji wake na hizo nilizozisema zina mashabiki wake.
Ninachosema hapa ni kuwa 'ujinga' umetuharibu watz na ndio maana likija swala la mpira ni simba na yanga kana kwamba hatuna timu kwenye maeneo yetu. Na sio ajabu kukuta eti mtu ambaye hana hata uhakika wa mlo mmoja anajiua eti Simba au aseno wameshindwa! Sasa hata huyo Mo ambaye ni msomi na ana pesa anaangukuia hapo hapo kielelezo kwamba yeye anapenda simba na sio kwamba anapenda soka. Nguvu hii yote ni kwa ajili ya nini!?
Usije ukafikiri niliteleza au sikukuelewa. Wenye timu si wanaona wanajimudu? Kinamshinda nini Mo kununua isiyojimudu kama nia yake ni mpira wa Tanzania kukua? Mimi nilikujibu kwa muktadha wa why Simba.
Yeye aseme ana agenda gani. Kama ni timu ziko nyingi tu akanunue aoneshe namna fedha zake zinavyoweza kuleta mabadiliko.
Mo ana misifa tu
ubunge jimbo lake kaliacha hoi
alikuwa mfadhili wa Simba na hakuna cha maana Simba ilifanya
hizo bilioni 20 anazungumza tu kwa mdomo
kiuhalisia Simba jengo tu la Msimbazi ni zaidi ya bilioni 7
ina maana alkipewa Simba akienda bank kukopa bilioni 3
na kuzitumia Simba kuingiza zaidi..in the end atakuja kusema kainvest bilioni 20
Wahindi kama huyu hawawezi kuinvest Ulaya sababu ujanja ujanja kule hakuna
hiyo brand ya simba imeshawaingizia sh.ngapi? Mbona wachezaji wanakufa njaa na wanasajili makapi ya Azam? Liuzeni basi hilo jengo msajili wachezaji?Huyu jamaa tapeli jengo la simba pale kariakoo linasimamia ile pesa yote, ukiacha brand ya simba imejengwa for more than 50 yrs. Anataka atumie simba brand kuuzia bidhaa zake
Wala hatoi hizo billion 20 kwenye Club moja kwa moja. Eti watanunua hatifungani (sijui za muda gani). Ule mtaji utabaki kuwa wa kwake na atakuwa na gawio la 51% kwenye faida ya hizo hatifungani.
Hivi nani kafanya valuation ya assets za Simba kujua thamani yake hadi afikie kusema ananunua hisa 51% kwa billion 20? Something very fishy somewhere. Kesho kutwa anaweza kuamua kuuza hisa zake kwa thamani halisi maana wakati huo tofauti na sasa, itakuwa inajulikana!
Only time will tell.