Mmoja kati ya wale watu waliohusika na ile kashfa ya Ricmond , Mohamed Gire , amecontribute kiasi cha dola mia tano kwenye campaign ya John Mccain . Nilikuwa nafikiria ni jinsi gani tunaweza kufanya ili hela zirudishwe kwake lakini zaidi tuexpose huyu mtu for who he is .
http://www.newsmeat.com/fec/bystate_detail.php?city=Houston&st=TX&last=gire&first=mohamed
hizi ndizo akili ninazotaka mimi. Tukisign patition Macain atarudisha tu hasa tukimkopi pia mgombea wa democrat katika kumshurutisha macain arudishe hizo fedha za fisadi anayeua mamilion ya watu hapa tz
hela haiwezi kurudi hata kwa uchawi... 4get it
kweli kabisa tutume hii issue to obamas campaign manager...mafisadi wajinyeee..lol