Mohamed Hussein transfer update🔴

Unai Emery

Member
Joined
Nov 19, 2019
Posts
79
Reaction score
62

MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE🔴

- Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu kadhaa zimeanza kutuma ofa.

- Klabu za Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, Royal AM na Orlando Pirates wametuma ofa rasmi kwa Menejiment yake huku Supersport United wakimtumia mtu wa kati kufikisha ofa kwa Wakala wake.

- Aidha Simba pia wameanza mazungumzo na Tshaba ili aongeze kandarasi ambapo kwasasa wanapewa kipaumbele kikubwa kuanzia ofa yao na vipengele vingine vya kimkataba ijapo hajasaini karatasi zozote mpaka hivi sasa.

Powered by @kariakoo_phones.tz @kariakoo_phones.tz

VISIT MOROGORO🇹🇿
Jrfarhan ✍️
 
Eti Orlando pirates,kaizer,royal am na supersport... 😄😄😄

What a joke!!

Hii atakua kaandika tshabalala mwenyewe na wakala wake!!!

Yaani mtu yupo umri wa kustaafu anaota ndogo za kwenda timu za sauzi, akubali umri umemtupa mkono, Simba wamstiri au aende singida big star club ya ma veteran
 
Kwani nyie utopolo mbona kila kitu kwenu vita?????[emoji23][emoji23][emoji23]


Acheni ulimbukeni,


MKIAMBIWA HAMNA AKILI MNALALAMIKA DAH
 
Kwani nyie utopolo mbona kila kitu kwenu vita?????[emoji23][emoji23][emoji23]


Acheni ulimbukeni,


MKIAMBIWA HAMNA AKILI MNALALAMIKA DAH
Wala sio vita mtani

Ila sioni mchezaji ambaye simba yenyewe wanataka kutafutia mbadala eti anatakiwa na giants wa south Africa

Afu ungetumia akili kidogo tu, Simba kama wanajua ana thamani isingekua rahisi waache mpaka mkataba wake uishe, lazima wangempa ofa ya ku extend mapema labda yeye akatae

Vitu vingine tue tunaambiana ukweli tu
 
Nawe umeandika hii pumba?

Tshabalala na Mayele nani mwenye umri mkubwa?

Achilia mbali age cheating ambayo kwa Africa imekuwa regular, hata kwa sura yupi ukimuangalia ni anaonekana mkubwa kuliko mwingine?
Sikuwezi kwa ubishi tufanye ana miaka 22 kama unatumia kigezo cha sura Zawadi Mauya na Baleke nani mkubwa?
 
Shabalala aachwe tu SSC. Magoli mengi yanatokea upande wake. Hizo habari kuwa eti kuna timu kubwa za nje zinamuhitaji ni stori za kusadikika kuitishia SSC wasimwache. Yeye aondoke tuuuu
 
Siyo mbaya kuwa na veterans kadhaa katika timu ila mishahara yao iwe ile ya level ya chini na wawe wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja. Pia wawe tayari kusugua benchi na kuchezeshwa pale tu wanapohitajika.
 
Sasa hapo ndio umeongea nini????kumbe unajua kuwa kuna suala la mchezaji kukataa mkataba,sasa una uhakika gani kama simba hawakumpa mkataba????
Sureboy hakupewa mkataba na Azam?
Kakolanya hakupewa mkataba na Simba?
Messi hakupewa mkataba na barcelona?
Lewandosky hakupewa mkataba na Dortmund?

Sasa kwanini hao wote wakaondoka free agent????

Na nani alikwambia simba wanatafuta mbadala wa Zimbwejr?????

TAJA FULLBACK YEYOTE NCHINI ANAYEZIDI KIWANGO CHA ZIMBWEJR ,.......

USIJIDANGANYE HAKUNA BEKI YA KUSHOTO BORA NCHI HII KWASASA ANAYEMZIDI ZIMBWEJR ,HIVYO SUALA LA KUTAKIWA NA TIMU ZA NJE NI HALALI YAKE.



Uto Uto Uto akilimali........
 
Tofauti na matusi huna unacho kijua
Ndio unayostahili hayo maana huna kitu kichwani......


Tusi lipo wapi hapo?????Sasa unaelezwa vitu vingine unaleta mada/ligi nyingine kuhusu umri wa baleke na mauya kama si utopolo ni nini sasa?????


HUNA AKILI
 
Ndio unayostahili hayo maana huna kitu kichwani......


Tusi lipo wapi hapo?????Sasa unaelezwa vitu vingine unaleta mada/ligi nyingine kuhusu umri wa baleke na mauya kama si utopolo ni nini sasa?????


HUNA AKILI
Sawa
 
Sikuwezi kwa ubishi tufanye ana miaka 22 kama unatumia kigezo cha sura Zawadi Mauya na Baleke nani mkubwa?
[emoji3][emoji3][emoji3]Baleke mdogo sana. Kuna tofauti kati ya sura mbaya na sura iliyokomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…