Mohamed Hussein transfer update🔴

Kwani nyie utopolo mbona kila kitu kwenu vita?????[emoji23][emoji23][emoji23]


Acheni ulimbukeni,


MKIAMBIWA HAMNA AKILI MNALALAMIKA DAH
Hii kauli Utopoloni hatuna akili sote ila wawili tu, niliifikiria sana nikaona Ina kaukweli flani maana namimi ni mmojawapo dishi Huwa linayumba weekend ila nikamkumbuka sana Rage aliesema Simba yote ni ya mbumbumbu which is true maana mabilioni ya Mbet yameleta makombe mawili ya kufa kiume , kocha ni Mzee, wachezaji ni wazee, timu haijulikani inacheza staili Gani ya mpira, timu inapigwa kama ngoma na Dube sio Azam na bado mashabiki mbumbumbu roho zao nyeupeee hawaoni aibu mitaani na majezi Yao na eti walivyo hamnazo hawafukuzi yoyote!! Stupi😊 Kolos !!

Sasa nikafurahi sana kuwa angalau Yanga tuna wawili wenye akili Mzee wa Msoga na Sunday Manara, sasa nikagundua huko Kolokoloni wao mwenye akili ni mmoja tu , one and only one, Mr Rage only! Maua yake haya🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌺🥀🍁💐💐🌼🌸🌸💮💪💪💪🔥🔥🔥

Mchango wa kujenga sanamu la Rage pale msimbazi umeanza jamani wa utopoloni tuwasaidie Makolo Huyu ni shujaa wao amewaamsha watani zetu tuchangamkie fursa tuchange!! Sanamu liwe kubwa na zuri liwekwe juu ya Ghorofa la Simba na liandikwe "Rage the Great, the living philosopher"

Tshabalala ni mzee katumika sana kaisha hivi Sasa ni level ya TP Lindanda Wana Kawekamo Pamba ya Mwanza, Singapore Big Stars, Kagera Sugar, Mtibwa , Azam pia atafaa, Sauzi sio kweli, nyie Kolos kweli Mbumbumbu, huko kwa Madiba ni level za kina Mudathir au Mayele, Musonda, Mzize etc
 
Nawe umeandika hii pumba?

Tshabalala na Mayele nani mwenye umri mkubwa?

Achilia mbali age cheating ambayo kwa Africa imekuwa regular, hata kwa sura yupi ukimuangalia ni anaonekana mkubwa kuliko mwingine?
Mmh Mayele mdogo wake wa tatu wa Tshabalala
 
Siyo mbaya kuwa na veterans kadhaa katika timu ila mishahara yao iwe ile ya level ya chini na wawe wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja. Pia wawe tayari kusugua benchi na kuchezeshwa pale tu wanapohitajika.
Wakiachwa wataendelea kuroga wanaokuja ili wacheze wao
 
Kijana anaitwa Mbegu full back left ya Ihefu ndio imemkimbiza Shabalala Simba. Tokea huyo Dogo asaini mkataba Simba. Wekundu wa Msimbazi wememfungia vioo Shabalala. Labda aende huko South.
Hakuna beki anae weza kuuweka bech zimbwe jr ni beki mwenye vitu vingi Sana licha ya mwli mdogo Aliio nao mabek wengi wamekuja simba wame shindwa sio kama wabovu Bali ni uwezo Alio nao
 
Unajua Marumo Gallants ni muunganiko wa maveterani waliokuwa wanaenda kustaafu. Wao wamechukua shortcut kama ya Yanga iliyokusanya wazoefu wa AS Vita ili kufikia mafanikio kwa haraka.

Hii ndiyo moja ya sababu ya kwa nini Marumo hawafanyi vizuri katika ligi yao maana wachezaji wao hawana stamina ya kupambana katika mashindano mengi kwa wakati mmoja wakaona wafocus kwenye shirikisho.

 
Hakuna beki anae weza kuuweka bech zimbwe jr ni beki mwenye vitu vingi Sana licha ya mwli mdogo Aliio nao mabek wengi wamekuja simba wame shindwa sio kama wabovu Bali ni uwezo Alio nao
Kwa hawa wanaocheza ligi hii hakuna kama zimbwejr na hatotokeacleo wala kesho
 
Mimi ni shabiki wa yanga ila katika ligi yetu hakuna mchezaji anayewazidi Mohammed Hussein Tshabalala, Kapombe na Chama nasema hakuna hawa wapo daraja la juu kabisa ukilinganisha na wote wanaocheza ligi yetu.....ni wachezaji waliokaa katika nafasi zao bila kutetereka,
hao ndio wachezaji pekee ninaowakubali pale simba,maana hakuna wa kiweza kuwaweka benchi katika timu zote,hata hapa kwetu yanga wakija wanaingia kikosi cha kwanza moja kwa moja ,hawa watu hata wakitoka majeruhi huwezi jua,wana consistancy nawapenda mno
 
Nyinyi ndio mnaofanya washabiki wa kweli Yanga SC tuonekane hovyo
Hakukuwa na sababu kuleta mambo yasiyohusiana na mada pendekezwa,mada inahusu usajili unaomuhusu Tshabalala wewe umekuja na mada yako ya umri wa kina mauya sijui baleke....
Dah tuna safari ndefu sana.
 
Kijana anaitwa Mbegu full back left ya Ihefu ndio imemkimbiza Shabalala Simba. Tokea huyo Dogo asaini mkataba Simba. Wekundu wa Msimbazi wememfungia vioo Shabalala. Labda aende huko South.
Mbegu amesajiliwa Simba???kijana yupo vizuri ila kwa level za zimbwejr bado sana ana mengi ya kujifunza
 
Dah
 
Sasa kwa nini walishiriki kumdanganya Fei Toto wakati wa kwao ametulia hadi atakapomaliza mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…