Mpira pesa, mahaba yalikuwa zamaniAlicheza Friends rangers,Kagera sugar..ukoo wao Yanga watupu..baba yake mdogo alicheza Yanga..Said Zimbwe..Ila huyu ameng'ang'ania mikia..baba yake alienda kumchukulia tuzo ya mchezaji bora alisema anatamani mtoto wake angecheza Yanga..kama Kichuya nae...
Hata Mimi nilihisi anatoka ukoo wa wanayangaAlicheza Friends rangers,Kagera sugar..ukoo wao Yanga watupu..baba yake mdogo alicheza Yanga..Said Zimbwe..Ila huyu ameng'ang'ania mikia..baba yake alienda kumchukulia tuzo ya mchezaji bora alisema anatamani mtoto wake angecheza Yanga..kama Kichuya nae...
Hapo umeruka sehemu moja alitokea simba B kabla hajaenda kagera. Simba walifanya kumrudisha tu nyumbaniAlicheza Friends rangers,Kagera sugar..ukoo wao Yanga watupu..baba yake mdogo alicheza Yanga..Said Zimbwe..Ila huyu ameng'ang'ania mikia..baba yake alienda kumchukulia tuzo ya mchezaji bora alisema anatamani mtoto wake angecheza Yanga..kama Kichuya nae...
Halafu jamaa ameruka kwa makusudi ili lengo lake la kumtanabaisha na Yanga litimie.. Hiki kikosi cha Simba ni kama Man City, benchi lina tisha kama first 11.Hapo umeruka sehemu moja alitokea simba B kabla hajaenda kagera. Simba walifanya kumrudisha tu nyumbani
Simba walimtoa Friends Ranger ya Heri Mzozo. Kagera alienda baada ya kutoka Simba B baadae wakamrejesha kwa kifupi damu yake ni nyekundu na hulisafirisha jina simba kila kona ya mwili wake.Hapo umeruka sehemu moja alitokea simba B kabla hajaenda kagera. Simba walifanya kumrudisha tu nyumbani
Mimi ni shabiki namba moja wa Dar Es Salaam Young Africans but kwa huyu bwana mdogo wacha nimpe sifa zake . Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Analitendea haki jina.la wajina wake Mohamed Hussein Machinga ..
Kwa anaefahamu CV ya Tshabalala afunguke .
Kabla ya kusajiliwa SSC alikuwa chama gani?
Viongozi wa Yanga ..Fanyeni mpango.mumvute Tshabalala jangwani .
Akiungana.na Fei Toto pale itakuwa bonge la Chemistry
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kweli mkuuShabiki gani wewe wa Yanga unaleta mgawanyiko kwa kuita Dar es Salaam Young Africans??? Yanga ni ya Tanzania nzima ...inaitwa Young Africans Sports Club au Young Africans au Yanga....hizo mbwembwe za Dar es Salaam Young Africans ni upotoshaji mkubwa....Je, ni sahihi kuita Dar es Salaam Simba Sports Club au Dar es Salaam Azam Football Club????!!!! Acheni bwana kupotosha umma kuhusu jina sahihi la klabu ya wananchi....mimi huwa nawashangaa waandishi wa habari na watanggazaji uchwara wanaojidai wanajua sana kwa kuiita klabu hii eti Dar es Salaam Younga Africans...Huu ni upotoshaji na uchochezi pia...