Mohamed Hussein 'Zimbwe' aheshimiwe

Ni wakati wa kumtambua Zimbwe...
Ana discipline, juhudi, maarifa, mzalendo kwa SIMBA..
Hatujasikia amekeazana na makocha wote waliopita Simba..
Amekwazana
 
Ukitaka ajiuzulu kucheza mpira au ahame namba mwambie amkabe Kisinda au Adebayor
Jana kisinda alicheza? Hakupangwa. Angepangwa match ya jana angewafunga simba.... Nyie akina kisinda kabwili mna shida.
 
Nilimpeleka Mkude, Onyango na juzi tu nimempeleka Kagere angalia moto atakaowasha NBC now.
Kaa hivyohivyo kijinga
Sasa unapeleka wenzio wewe hujipeleki mganga akusadie uwe mwanaume halisi? Maana unasaidia wenzio tu kimpira
 
Huyu na Aish Manula ndio mastaa wa kuirudisha nyumbuni Taifa Stars.
 
Ukitaka ajiuzulu kucheza mpira au ahame namba mwambie amkabe Kisinda au Adebayor
Kisinda huyu huyu aliyefichwa juzi na Zimbwe akahamia upande mwingine akakutana na Enock Inonga akafukiwa kabisa au Kisinda wa Russia kwa Putin 🙂
 
Ukitaka ajiuzulu kucheza mpira au ahame namba mwambie amkabe Kisinda au Adebayor
hawa ndio wale hata mpira hawaangalii. hajui hata sifa anazopewa Shaba ni baada ya kumfanya Kisinda abaki kukenua tu uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…