Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Binafsi namfahamu kidogo tu kama Katibu mkuu wa BMT .
Sijui ametokea wapi na wala sifahamu tangu lini ameshika wadhifa huo .
Katika siku chache nilizomsikia , kiukweli amenivutia , hasa baada ya kuanza kuondoa uozo wa miaka mingi kwenye sekta ya michezo , ni mtu ambaye hataki longolongo.
Anayemfahamu zaidi atuwekee habari zake hapa , tumjue zaidi .
Ha! Ha! Ha! Wewe ni lazima utakuwa Team Manji .Naangalia tu kwanza mahusiano ya Kiganja na " Ganja ".
Ha! Ha! Ha! Wewe ni lazima utakuwa Team Manji .
Duuuuh wewe ni mkaliNaangalia tu kwanza mahusiano ya Kiganja na " Ganja ".
nilisikia akisema eti kuna vijitu wamemwandikia eti wanataka kuandamana kwenda ikulu awaruhusu tuwajue kuna mtu aliiba copresa ya air conditioner klabu kakamatwa kafungwa katoka eti na yeye anapinga mpango wa kukodishwa ili aendelee kuiba mali za klabuBinafsi namfahamu kidogo tu kama Katibu mkuu wa BMT .
Sijui ametokea wapi na wala sifahamu tangu lini ameshika wadhifa huo .
Katika siku chache nilizomsikia , kiukweli amenivutia , hasa baada ya kuanza kuondoa uozo wa miaka mingi kwenye sekta ya michezo , ni mtu ambaye hataki longolongo.
Anayemfahamu zaidi atuwekee habari zake hapa , tumjue zaidi .
kwanza ukimwangalia anavyozungumza unamuona kabisa usoni anaongea uwongo uwongoBinafsi namfahamu kidogo tu kama Katibu mkuu wa BMT .
Sijui ametokea wapi na wala sifahamu tangu lini ameshika wadhifa huo .
Katika siku chache nilizomsikia , kiukweli amenivutia , hasa baada ya kuanza kuondoa uozo wa miaka mingi kwenye sekta ya michezo , ni mtu ambaye hataki longolongo.
Anayemfahamu zaidi atuwekee habari zake hapa , tumjue zaidi .
Ha! Ha! Ha!kwanza ukimwangalia anavyozungumza unamuona kabisa usoni anaongea uwongo uwongo
Umeua mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naangalia tu kwanza mahusiano ya Kiganja na " Ganja ".
Mara nyingi zamani KM BMT walikua watu wa usalama wanatupwa paleBinafsi namfahamu kidogo tu kama Katibu mkuu wa BMT .
Sijui ametokea wapi na wala sifahamu tangu lini ameshika wadhifa huo .
Katika siku chache nilizomsikia , kiukweli amenivutia , hasa baada ya kuanza kuondoa uozo wa miaka mingi kwenye sekta ya michezo , ni mtu ambaye hataki longolongo.
Anayemfahamu zaidi atuwekee habari zake hapa , tumjue zaidi .
Mpaka leo .Mara nyingi zamani KM BMT walikua watu wa usalama wanatupwa pale
Si umeona blockade hiyo mkuu?state haiwezi kukubali timu ya Nyerere na karume ikaenda na maji kirahisiMpaka leo .
Kang'olewa rasmi BMTNi Mohamed Kiganja