saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Mh.waziri wetu wa TAMISEMI sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tuli-submit maombi yetu ya kwenda likizo ya malipo mwezi wa 11 mwanzoni.
Ilikuwa tuende likizo kujiunga na familia na ndugu zetu ktk sherehe za mwisho wa mwaka huu.
Tunasikitika kukueleza kwa masikitiko kuwa tumeshindwa kwasababu hatujalipwa mpaka leo.
Watumishi wa halmashauri akiwepo mkurugenzi mtendaji wametupuuza wakati huo yeye mkurugenzi, maafisa elimu na maafisa utumishi wamejilipa na wameenda likizo.
Mh. Waziri tunaomba msaada wako tupate haki zetu. Kwa halmashauri hii manyanyaso kwa walimu imekuwa ni kawaida kwa mfano walimu walioajiriwa tangia 2020 hawalipwa pesa za kujikimu na za nauli ni wazi ofisi ya utumishi na uhasibu kwa maana ya DT wanajichukulia pesa ambazo ni haki zetu.
Jambo lingine mtumishi unajaza malipo unaweza kulipwa nusu ya ulichoomba bila maelezo.
Kwa ujumla pale halmashauri ni Miungu watu, tunaomba imulike hii halmashauri utusaidie wananchi wako.