Mohamed ''msomali'' Hassan: taazia kutoka kwa Kheri Maulid chomba kwa niaba ya vijana wapenda soka

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MOHAMED ''MSOMALI'' HASSAN: TAAZIA KUTOKA KWA KHERI MAULID CHOMBA KWA NIABA YA VIJANA WAPENDA SOKA KARIAKOO

Utangulizi

Rafiki yangu Kheri Maulid Chomba wa Kariakoo kaniletea taarifa ya msiba wa Mohamed Msomali na kwa haraka ya ajabu akaniandikia pia na taazia ambayo ameniambia walikaa vijana wapenda soka wa Kariakoo wakakumbusha enzi wakati Mohamed Msomali alipokuwa Dar es Salaam akicheza mpira Yanga kisha Cosmopolitan na baadae kuwa kocha wa Pan African. Nimeuomba aniruhusu nitumie taazia yao nay eye kwa niaba ya wenzake amenikubalia.

2016%2B-%2B1

Mohamed Msomali
(Picha kwa hisani ya Vijana Wapenda Soka wa Kariakoo)

[10:33pm, 08/09/2016] Kheri: Mungu ampumzishe kwa amani mzee Mohamed Hassan Msomali. Taifa limepoteza muumini mwingine wa ukweli wa soka. Aliyefanya soka kwa mahaba na si shinikizo lingine.
[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Innalillahi. Wachache wanaomjua Mohamed Msomali. Ile TFF akuna anaemjua.
[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Ile Pan African tishio ya 1981/82 Coach Msomali
[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Half back 4 ya uhakika . Akili tupu
[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Wahid. Pan African ya 1982 iliyotwaa ubingwa Coach alikua Mzee Msomali. Ni kikosi bora kwangu kwa muda wote kila position ilikuwa na watu 2.
1. Juma Mensha/Idd Msakaa
2. Mohamed Mkweche/Jafar Abraman
3. John Fire/Hamis Swedi
4.Tenga/Saad Matheo.
5.Jella Mtagwa/Kassim Matitu.
6.Adoph Rishard/Carlos
7.Gordian Mapango/Omar Said
8.Hussein Ngulungu/Roma Mapunda
9.Abdallah Burhan/Ally Catolila
10.Mohamed Yahya/Peter Tino
11.Ibrahim Kiswabi/Wazir Ally.

Hii ni team bora katika Leauge Kuu kwa mtazamo wangu. Baada ya 1975. Yanga kuzaa Pan African. Simba kuzaa Red Star

[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: inawezekana kabisa ikawa ndio timu bora
[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: ule ukuta wao ulikuwa wa chuma
Pondamali
Mkweche
John Faya
Tenga
Jellah
Adolf Rishard
[10:34pm, 08/09/2016] Kheri: huyu Mohamed Yahaya "Tostao" alienda kucheza mpira Austria pamoja na Kassim Manara.
 
Ndg yangu Mohamed Said. History ya Marehemu Msomali ungetuletea humu.
Sio vijana wengi wanajua kocha Msomali alikuwa nani katika ulingo wa soka. Tafadhali Mzee.
 
Mohamed Said

Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania
  1. SEP
    8

    MOHAMED ''MSOMALI'' HASSAN: TAAZIA KUTOKA KWA KHERI MAULID CHOMBA KWA NIABA YA VIJANA WAPENDA SOKA KARIAKOO

    Utangulizi

    Rafiki yangu Kheri Maulid Chomba wa Kariakoo kaniletea taarifa ya msiba wa Mohamed Msomali na kwa haraka ya ajabu akaniandikia pia na taazia ambayo ameniambia walikaa vijana wapenda soka wa Kariakoo wakakumbusha enzi wakati Mohamed Msomali alipokuwa Dar es Salaam akicheza mpira Yanga kisha Cosmopolitan na baadae kuwa kocha wa Pan African. Nimeuomba aniruhusu nitumie taazia yao nay eye kwa niaba ya wenzake amenikubalia.

    2016%2B-%2B1

    Mohamed Msomali
    (Picha kwa hisani ya Vijana Wapenda Soka wa Kariakoo)

    [10:33pm, 08/09/2016] Kheri: Mungu ampumzishe kwa amani mzee Mohamed Hassan Msomali. Taifa limepoteza muumini mwingine wa ukweli wa soka. Aliyefanya soka kwa mahaba na si shinikizo lingine.
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Innalillahi. Wachache wanaomjua Mohamed Msomali. Ile TFF akuna anaemjua.
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Ile Pan African tishio ya 1981/82 Coach Msomali
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Half back 4 ya uhakika . Akili tupu
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: Wahid. Pan African ya 1982 iliyotwaa ubingwa Coach alikua Mzee Msomali. Ni kikosi bora kwangu kwa muda wote kila position ilikuwa na watu 2.
    1. Juma Mensha/Idd Msakaa
    2. Mohamed Mkweche/Jafar Abraman
    3. John Fire/Hamis Swedi
    4.Tenga/Saad Matheo.
    5.Jella Mtagwa/Kassim Matitu.
    6.Adoph Rishard/Carlos
    7.Gordian Mapango/Omar Said
    8.Hussein Ngulungu/Roma Mapunda
    9.Abdallah Burhan/Ally Catolila
    10.Mohamed Yahya/Peter Tino
    11.Ibrahim Kiswabi/Wazir Ally.

    Hii ni team bora katika Leauge Kuu kwa mtazamo wangu. Baada ya 1975. Yanga kuzaa Pan African. Simba kuzaa Red Star
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: inawezekana kabisa ikawa ndio timu bora
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: ule ukuta wao ulikuwa wa chuma
    Pondamali
    Mkweche
    John Faya
    Tenga
    Jellah
    Adolf Rishard
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: ni noma
    [10:34pm, 08/09/2016] Kheri: huyu Mohamed Yahaya "Tostao" alienda kucheza mpira Austria pamoja na Kassim Manara.
Tupe uhondo. Pan African hiyo ndio ilicheza na Vita ya Zaire? Akina Lobilo, Mayanga nknk?
 
Back
Top Bottom