Mohamed Mussa na Utanzania

Mohamed Mussa na Utanzania

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Nimemsikiliza Mbunge Mohamed Said Issa nadhani wa ACT kutoka Zanzibar akichangia hotuba ya wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu ubaguzi wa kimuungano.

Awali nilivutiwa na hoja zake lakini baada ya kubaini kuwa hoja kutoka kwa wabunge wenzake kuwa yeye ni Mtanzania, alizikataa zote pamoja na hoja yake ya pasipoti kwenda zanzibar, nikajua huyu naye ana ajenda yake.

Na kama ndivyo hivyo tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu muundo wa muungano na suala la Katiba kwa ujumla kuna shida.

Upepo na mwelekeo wa michango ya bunge imeonyesha hivyo.

Ujasiri unahitajika kulikabili suala hili kwa weledi kuondoa sintafahamu
 
Back
Top Bottom