Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Kwenye hii fainali ndiyo hasa falsafa ya ubaya ubwela inabidi ionyeshe makucha yake. Huu siyo muda wa kumuangalia mtu usoni.Simba hili kombe inalibeba ila ni lazima ipitie figisu sana
Wale wapuuzi waliokuwa wanauliza "Kama kweli Simba walivaa medali mwaka 1993, wazionyeshe tuone!" Medali hiyo hapo sasa.
Kwenye hii fainali ndiyo hasa falsafa ya ubaya ubwela inabidi ionyeshe makucha yake. Huu siyo muda wa kumuangalia mtu usoni.
Kwenye hii fainali ndiyo hasa falsafa ya ubaya ubwela inabidi ionyeshe makucha yake. Huu siyo muda wa kumuangalia mtu usoni.
Ikumbukwe kwamba Kuna Mchungaji mmoja nadhani Suguye kama sikosei aliitabiria Simba kufika mbali CAF CC.Kwenye hii fainali ndiyo hasa falsafa ya ubaya ubwela inabidi ionyeshe makucha yake. Huu siyo muda wa kumuangalia mtu usoni.
Insha-AllahSimba hili kombe inalibeba ila ni lazima ipitie figisu sana