Mohamed Said: Al Fatah Sema Nasi

Sheikh Mohamed Said ,

..ameeleza sehemu kubwa ya maisha yako.

..lakini mimi sijapata kukusikia ukielezea maisha yako ukiwa JKT.

..naomba utueleze vituko vya maisha yako ukiwa kuruta na serviceman wa JKT.

..naamini utakuwa na kumbukumbu nyingi za kuchekesha kama ilivyo kwa watu wengi waliopitia JKT.
 
JK,
Sikupita JKT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…