Mohamed Said TBC1: Historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika 17 Novemba 2020 sita unusu mchana

Mohamed Said TBC1: Historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika 17 Novemba 2020 sita unusu mchana

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MOHAMED SAID NA MAUREEN TBC 1 HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA

Taarifa zimenifikia kuwa TBC1 watarusha kipindi cha historia ya uhuru wa Tanganyika leo saa sita na nusu mchana.

Haya ni mahojiano kati yangu na Mtangazaji Maureen.

IMG-20201017-WA0253.jpg
IMG-20201101-WA0128.jpg
Screenshot_20201116-060311.jpg
Screenshot_20201105-054522.jpg
 
Rhz,
Ahsante sana kaka kwa heshima uliyonipa.

Naomba ruksa nikuulize kwa nini huangalii TBC?
Si angalii kwasababu kwaasimia kubwa huwa hawarushi taarifa za ukweli na uhakika.

Niwabaguzi wawazi wazi,niwapotoshaji kwa jamii nk .
 
Nakuona hapa tbc unajitahidi kuelezea mambo ya akina Sykes
Gunst,
Mwaka wa 1988 niliandika makala "In Praise of Ancestors," katika gazeti likiitwa Africa Events likichapwa London.

Katika makala ile nilieleza jinsi Abdul Sykes alivyoasisi TANU na kuwasha moto harakati za kudai uhuru wa Tanganyika.

Nikaeleza vilevile mchango wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) katika harakati hizi.

Toleo zima la gazeti hili lilikusanywa na kuondolewa katika mzunguko.

Nakala chache sana ndiyo zilipenya.

Leo TBC wanakuja nyumbani kwangu kuniuliza historia ya ukoo wa Sykes na kipindi kurushwa hewani kionekane.

Mwenyezi Mungu ni muweza wa kila jambo.
 
Hiyo makala itakuwa ilijaa uchochezi.

Btw: Kile chumba ulimokuwa unahojiwa ni ofisi yako?
Nimeona kimejaa vitabu kila kona.
 
Ungeuliza nilichoandika ingekuwa bora kuliko kusema kuwa nimeandika uchochezi.

Niulize nilichoandika nikufahamishe.

Hiyo si ofisi ni nyumbani.

Vitabu, kusoma na kuandika toka udogoni ndivyo nilivyolelewa.
 
Rhz,
Ahsante sana kaka kwa heshima uliyonipa.

Naomba ruksa nikuulize kwa nini huangalii TBC?
Bwana Rihz, Mohamed Saidi alikuwa kipenzi cha RTD ya Hamza Kasongo na David Wakati. Kuna wakati alienda kusoma IFM akawa Mhasibu, tangu pale kageuka rangi, kachakachua kitabu chetu, kawa siasa kali huwezi kumtambua tena. Tunamsaheme tu kwa kazi kubwa aliyotufanyia kutuletea the Life and Times of AWS. Ni kama Saulo wa kwenye Biblia, na wewe msaheme bure.
 
LGF,
Ikiwa unapenda tufahamiane ni jambo zuri na ni kiasi cha kuniuliza nitakufahamisha historia ya maisha yangu.

Sijapata kuwa mhasibu.

Wala sijui kitabu nilichochakachua wala.kuwa nimekuwa, "siasa kali," nk. nk.

Kuwa nilikuwa natambulika na sasa sitambuliki.
Hakika unanishangaza.

Nini sababu ya hii chuki yako?

Ni hii kusahihisha historia ya TANU na.kueleza mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika au lipo jingine nisilojua?
 
Back
Top Bottom