Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Rhz...TBC hii hii
mpaka uitwe uzungumzie historia ya tunu na uhuru wa Tanganyika bila shaka wakati uhuru unapatikana ulihushuhudia.Rhz...
Naam TBC 1.
Kwazaidi ya miaka mi 4 sasa bila kuangalia tbc channel.Rhz...
Naam TBC 1.
Rhz,Kwazaidi ya miaka mi 4 sasa bila kuangalia tbc channel.
Kwaheshima yako Mzee nitaangalia hiko kipindi.
Si angalii kwasababu kwaasimia kubwa huwa hawarushi taarifa za ukweli na uhakika.Rhz,
Ahsante sana kaka kwa heshima uliyonipa.
Naomba ruksa nikuulize kwa nini huangalii TBC?
DUHSi angalii kwasababu kwaasimia kubwa huwa hawarushi taarifa za ukweli na uhakika.
Niwabaguzi wawazi wazi,niwapotoshaji kwa jamii nk .
Nakuona hapa tbc unajitahidi kuelezea mambo ya akina SykesRhz...
Naam TBC 1.
Gunst,Nakuona hapa tbc unajitahidi kuelezea mambo ya akina Sykes
Hiyo makala itakuwa ilijaa uchochezi.Gunst,
Mwaka wa 1988 niliandika makala "In Praise of Ancestors," katika gazeti likiitwa Africa Events likichapwa London.
Katika makala ile nilieleza jinsi Abdul Sykes alivyoasisi TANU na kuwasha moto harakati za kudai uhuru wa Tanganyika.
Nikaeleza vilevile mchango wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) katika harakati hizi.
Toleo zima la gazeti hili lilikusanywa na kuondolewa katika mzunguko.
Nakala chache sana ndiyo zilipenya.
Leo TBC wanakuja nyumbani kwangu kuniuliza historia ya ukoo wa Sykes na kipindi kurushwa hewani kionekane.
Mwenyezi Mungu ni muweza wa kila jambo.
Hiyo makala itakuwa ilijaa uchochezi.
Btw: Kile chumba ulimokuwa unahojiwa ni ofisi yako?
Nimeona kimejaa vitabu kila kona.
Gunst,Hiyo makala itakuwa ilijaa uchochezi.
Btw: Kile chumba ulimokuwa unahojiwa ni ofisi yako?
Nimeona kimejaa vitabu kila kona.
Bwana Rihz, Mohamed Saidi alikuwa kipenzi cha RTD ya Hamza Kasongo na David Wakati. Kuna wakati alienda kusoma IFM akawa Mhasibu, tangu pale kageuka rangi, kachakachua kitabu chetu, kawa siasa kali huwezi kumtambua tena. Tunamsaheme tu kwa kazi kubwa aliyotufanyia kutuletea the Life and Times of AWS. Ni kama Saulo wa kwenye Biblia, na wewe msaheme bure.Rhz,
Ahsante sana kaka kwa heshima uliyonipa.
Naomba ruksa nikuulize kwa nini huangalii TBC?
LGF,Bwana Rihz, Mohamed Saidi alikuwa kipenzi cha RTD ya Hamza Kasongo na David Wakati. Kuna wakati alienda kusoma IFM akawa Mhasibu, tangu pale kageuka rangi, kachakachua kitabu chetu, kawa siasa kali huwezi kumtambua tena. Tunamsaheme tu kwa kazi kubwa aliyotufanyia kutuletea the Life and Times of AWS. Ni kama Saulo wa kwenye Biblia, na wewe msaheme bure.