Mohamed Salah anazeeka vibaya

Mohamed Salah anazeeka vibaya

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Inakuwaje wanajamvi!

Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.

Screenshot_20211024_203429.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kama ni mzee credit to him; Sababu uzee ni disadvantage na anachofanya na bei aliyonunuliwa ni business well done Kwa Liverpool Be it Kikongwe or not; hata kama akichuja mwaka kesho
 
Ndiye top scorer epl kwa sasa utake usitake[emoji23]

Mechi 9, magoli 10, hapo vipi?
 
Back
Top Bottom