Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe.
Kama ni mzee credit to him; Sababu uzee ni disadvantage na anachofanya na bei aliyonunuliwa ni business well done Kwa Liverpool Be it Kikongwe or not; hata kama akichuja mwaka kesho
Haiwezekani kabisa huyu jamaa awe na miaka 29. Huyu ni kwenye late 40s. No he can't be 29 na kataa. Wazungu na waarabu siku hizi wanaghushi sana miaka hii katika mpira haikubaliki kabisa. Jamaa achunguzwe. View attachment 1985692