Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Mfano nikikupangisha kwa miaka 99 jeMwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu kupuuza maneno yanayosema Bandari imeuzwa, au imebinafsishwa kwa kuwa sio kweli. Watanzania wanapaswa kutambua kuwa DP World wamepangishwa tu kwa muda utakaotajwa kwenye mikataba itakayosainiwa baadae.
Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Haa TPA itakuwa inasimamia nini wakati imeshindwa kujisimamia yenyewe .mtu amemshindwa sisimiz tembo atamuweza acheni ngonjera .ni sawa na saa100 anadai eti kila kitu atakuwa anakisoma ikulu kutoka bandari ,uzwazwa kabisaMwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu kupuuza maneno yanayosema Bandari imeuzwa, au imebinafsishwa kwa kuwa sio kweli. Watanzania wanapaswa kutambua kuwa DP World wamepangishwa tu kwa muda utakaotajwa kwenye mikataba itakayosainiwa baadae.
Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
SAWA SAWA ila aseme Kwa muda Gani?Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu kupuuza maneno yanayosema Bandari imeuzwa, au imebinafsishwa kwa kuwa sio kweli. Watanzania wanapaswa kutambua kuwa DP World wamepangishwa tu kwa muda utakaotajwa kwenye mikataba itakayosainiwa baadae.
Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Huyo Muddy salum atakua mwanasheria aliyesomea Sharia na atakua amesomea madrasatul ya Makunduchi au Mchambawima.Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu kupuuza maneno yanayosema Bandari imeuzwa, au imebinafsishwa kwa kuwa sio kweli. Watanzania wanapaswa kutambua kuwa DP World wamepangishwa tu kwa muda utakaotajwa kwenye mikataba itakayosainiwa baadae.
Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Unapangishaje bila kuweka ukomo wa pango!?. Kiufupi hata hizi hati za ardhi tunazopewa huwa zinaandikwa umiliki wa ardhi kwa miaka 99, lakini kiuhalisia hiyo ardhi ni mali ya mwananchi milele. Sasa hao DP hata kama ikiandikwa wamepangishwa kwa miaka 99. Ujue hiyo ndo ya kwaoMwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Hujasoma, kama umesoma mkataba , utakuwa umesoma mkataba bandiaSisi tunasoma mkataba sio stori zao za mapenzi.
Hawa wapiga kelele wanatumia haki yao ya kidemokrasia, ila wanaelewa fika huo ujumbe wa mwanasheria Mohamed wa wizara ya uchukuzi.Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu kupuuza maneno yanayosema Bandari imeuzwa, au imebinafsishwa kwa kuwa sio kweli. Watanzania wanapaswa kutambua kuwa DP World wamepangishwa tu kwa muda utakaotajwa kwenye mikataba itakayosainiwa baadae.
Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali (Clubhouse)
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?