Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Uislamu wala waislamu hawajasahaulika bali wamejisahau. Kujisahau kwao ni tatizo lao wenyewe na halina uhusiano na nafasi yao katika taifa bali linahusiana zaidi na nafasi wanayoitaka katika taifa.Anachojaribu ni kuonyesha mchango wa Waislam na Uislamu kwenye kujenga hili taifa ambao anaamini umesahaulika au unadharaulika.
Ndio maana nikasema "anavyoamini", kuna waislamu wengi wanaamini serikali imekuwa ikifanya juhudi kukandamiza watu wa imani yao, including kufuta mchango wao kwenye kupambania uhuru etc.Uislamu wala waislamu hawajasahaulika bali wamejisahau.Kujisahau kwao ni tatizo lao wenyewe na halina uhusiano na nafasi yao katika taifa bali linahusiana zaidi na nafasi wanayoitaka katika taifa.Kwa mtazamo wao ni kwamba wao wananyimwa haki katika nchi yao wanachosahau ni kwamba hata hao wakristu kuna wakati wanafikiria hivyo hivyo.
Prince...je bado yupo hai....?