Mohamed Shomvi Mlimani TV na Mohamed Said

Mohamed Shomvi Mlimani TV na Mohamed Said

Watoto wa siku hizi ni play stations tu, kichwani patupu.
 
Mzee kilizi..na historia zake uchwara..za kulia lia anahujumiwa..only a fool anaweza kaa kusikiliza story zake zilizojaa chuki fitina na uzushi.


#MaendeleoHayanaChama
 
Jiwe...
Laiti ungeandika kwa uungwana kipi nilichosema kibaya tungeweza kufanya mjadala.

Lakini maneno ya kebehi, kejeli, matusi na chuki sina la kuchangia.
 
Back
Top Bottom