Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jan 21, 2022 #1 Mohamed Shomvi Mlimani TV anamuhoji Mohamed Said kuhusu historia ya Tanganyika:
Sijali JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 2,672 Reaction score 1,814 Jan 23, 2022 #2 Watoto wa siku hizi ni play stations tu, kichwani patupu.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jan 23, 2022 #3 Mzee kilizi..na historia zake uchwara..za kulia lia anahujumiwa..only a fool anaweza kaa kusikiliza story zake zilizojaa chuki fitina na uzushi. #MaendeleoHayanaChama
Mzee kilizi..na historia zake uchwara..za kulia lia anahujumiwa..only a fool anaweza kaa kusikiliza story zake zilizojaa chuki fitina na uzushi. #MaendeleoHayanaChama
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jan 23, 2022 Thread starter #4 Jiwe... Laiti ungeandika kwa uungwana kipi nilichosema kibaya tungeweza kufanya mjadala. Lakini maneno ya kebehi, kejeli, matusi na chuki sina la kuchangia.
Jiwe... Laiti ungeandika kwa uungwana kipi nilichosema kibaya tungeweza kufanya mjadala. Lakini maneno ya kebehi, kejeli, matusi na chuki sina la kuchangia.