hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Kati ya machampion niliotokea kuwakubali kutokana na historia zao au wanaweza kuwahamasisha watu kujiamini ili kufanikiwa basi ni huyu bondia wa zamani Mohammed Ali
1. Huyu jamaa alikuwa akijiamini sana na hivo kulimfanya ata kubashiri atashinda raundi ya ngapi kabla ya hata mechi
2. Aliweza kuwaogopesha wapinzani wake na kuwafanya wajidharau kwa kutoa kauli chafu na za dharau kwao kabla ya mechi
3. Alihakikisha anapigana freshi raundi aliyotabiri atashinda na aliweza fanya ivo kwa mechi 3 tu na aliaacha kubashiri baada ya kupigwa pambano alobashiri atashinda raundi ya 1
4. Alipinga vitendo vya kibaguzi marekani
5. Alisifika kwa quotes nzuri kama, float like a butterfly, sting like a bee,the hands can't hit what the eyes can't see, I am the greatest, I said even before i knew I was.
6. Aliipenda dini yake tofauti na wapiganaji wengine ambao ni wahuni sana
7. alichofanya "thrilla in manilla "kilikuwa fundisho tosha kuhusu torellance
8. hakuogopa pambano lolote wala kuchagua kama anavofanya mayweather kuselect mechi