Habari za mida wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimekua nikifatilia habari za watu wengi waliofanikia na wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje.
Kutoka katika takwimu za forbes za mwaka 2016, tajiri namba moja africa na Tanzania na ambaye ni kijana zaidi ni Mohammed Dewji akiwa na thamani ya dola za marekani bilioni 1.3 huku mzee Bakhressa akiwa tajiri wa tatu Tanzania akiwa na thamani ya dola za Marekani 575.
Kwa macho ya kawaida bidhaa za bakhressa zimetapakaa Afrika Mashariki yote na zinatumika kwa wingi zaidi hasa Tanzania huku Dewji bidhaa zake sio zilizokua sikoni kwa wingi.
Hili limekua likinipa wakati mgumu kukubaliana na taarifa ya jarida hili. Labda sifahamu vyanzo vyao vyengine vya mapato au pia sifahamu vigezo vya forbes wanavyotumia kupata thamani ya utajiri wa mtu.
Naomba wajuzi zaidi mnifahamishe.