DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jun 29, 2025 #1 Mkurugenzi wa Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na pia Mkurugenzi wa Makundichi Villah na mlezi wa Wanawake na Samia, Mohammed Haaj, amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni katika Ofisi ya ccm Wilaya ya kigamboni. Your browser is not able to display this video.
Mkurugenzi wa Twende Pamoja na Mama Sports Promotion na pia Mkurugenzi wa Makundichi Villah na mlezi wa Wanawake na Samia, Mohammed Haaj, amechukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni katika Ofisi ya ccm Wilaya ya kigamboni. Your browser is not able to display this video.
yello masai JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 3,927 Reaction score 4,199 Jun 29, 2025 #2 Jimbo litakuwa na ushindani mkubwa hili
Chrysanthemum JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 1,969 Reaction score 7,137 Jun 29, 2025 #3 Ndo alikochukua na Hersi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 29, 2025 #4 Alipokimbia makonda kuogopa maneno ya watu