Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
"Katika siasa tulizonazo za ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi hatujamuona Mwanasiasa mkongwe mwenye uwezo na utashi mwenye Upendo kwa watu kama alionao Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwasababu ametengeneza mahusiano mazuri na watu. CCM haiwezi kuyumba" - Ndugu Mohammed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
"Upepo wa kisiasa Tanzania, Katibu Mkuu, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekuwa na ziara Singida, Arusha, Manyara na Kilimanjaro, na kuna ndugu zetu wanaendelea na maandamano yao sijui yamefikia wapi, naona yametakatishwa lakini wanaendelea na mikutano yao"
"Ukitizama muitikio wa watu katika Chama Cha Mapinduzi ni mkubwa ukilinganisha na muitikio wa watu kwenye vyama vingine. Hii itoshe kuwa Dira na muelekeo watu wameona CCM inafanya na inatenda na inastahili kupewa Serikali" - Ndugu Mohammed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.