Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kiwakabidhi vijana hao kushughulika na chama cha upinzani Zanzibar (ACT - Wazalendo) ambao wamekuwa wakikejeli maendeleo makubwa ambayo yanafanyika katika Visiwa vya Zanzibar pia kukashifu viongozi na Mapinduzi Matukufu na kusema UVCCM itahakikisha inapambana nao katika mwaka huu wa Uchaguzi Mkuu 2025.
Pia, Soma: ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025
Pia, Soma: ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025