JamiiCheck mbona mmelala? Hii taarifa haijawa confirmed hata Israel kupitia waziri mkuu wake na waziri wa ulinzi kuwa "walijaribu kumuua" ila hajawasema kama walifanikiwa au lah so unapotoa taarifa wakati haipo confirmed ni misinformation.
Pia anaitwa Mohammed Ouda sio Mohammed Odeh!! So much misinformation
High chance IDF assassinated brand new Hamas chief Mohammed Ouda | The Jerusalem Post
Ouda served as head of military intelligence for the Qassam Brigades during the October 7 massacre.www.jpost.com
Hayo majina ya kiarabu sisi tunaona ni walewale tu lakini uhakika gaidi huyo aliyeshikilia wadhifa wake kwa siku 11 tu keshauwawa wewe kama una nia nenda kahudhurie mazishi yake!!!!JamiiCheck mbona mmelala? Hii taarifa haijawa confirmed hata Israel kupitia waziri mkuu wake na waziri wa ulinzi kuwa "walijaribu kumuua" ila hajawasema kama walifanikiwa au lah so unapotoa taarifa wakati haipo confirmed ni misinformation.
Pia anaitwa Mohammed Ouda sio Mohammed Odeh!! So much misinformation
High chance IDF assassinated brand new Hamas chief Mohammed Ouda | The Jerusalem Post
Ouda served as head of military intelligence for the Qassam Brigades during the October 7 massacre.www.jpost.com
Inaonekana ni njinsi gani unavyoumia pindi magaidi yanapo angamizwa!!JamiiCheck mbona mmelala? Hii taarifa haijawa confirmed hata Israel kupitia waziri mkuu wake na waziri wa ulinzi kuwa "walijaribu kumuua" ila hajawasema kama walifanikiwa au lah so unapotoa taarifa wakati haipo confirmed ni misinformation.
Pia anaitwa Mohammed Ouda sio Mohammed Odeh!! So much misinformation
High chance IDF assassinated brand new Hamas chief Mohammed Ouda | The Jerusalem Post
Ouda served as head of military intelligence for the Qassam Brigades during the October 7 massacre.www.jpost.com
Upo sahihi wamemuuaMimi hapo sijaelewa kitu maana anaongea kiarabu uliyeiweka hiyo Clip tupe maelezo anasemaje?
JamiiCheck mmeajiriwa na huyu Bumunda zitto juniorJamiiCheck mbona mmelala? Hii taarifa haijawa confirmed hata Israel kupitia waziri mkuu wake na waziri wa ulinzi kuwa "walijaribu kumuua" ila hajawasema kama walifanikiwa au lah so unapotoa taarifa wakati haipo confirmed ni misinformation.
Pia anaitwa Mohammed Ouda sio Mohammed Odeh!! So much misinformation
High chance IDF assassinated brand new Hamas chief Mohammed Ouda | The Jerusalem Post
Ouda served as head of military intelligence for the Qassam Brigades during the October 7 massacre.www.jpost.com
Punguza ubishi jana usiku niliweka hapa link ya kauli ya Netanyahu na Katz kuwa bado haijawa confirmed kama kauwawa so haikuwa sahihi kupost kabla ya confirmation. Ndio haya haya ukaishia kupost kuwa Qaani, Ghalibaf na Ahmedinejad kuwa wameshakufa ilihali hazikuwahi kuwa confirmed mpaka leo hii. So uwe na subira mpaka kitu kiwe confirmed maana hamna mnayeshindana naye kupost humu.JamiiCheck mmeajiriwa na huyu Bumunda zitto junior
Yeye kama anao uwezo basi amfufue ili aendelee kufanya ugaidi wake!!
Kwa taarifa yako wewe Bumunda huyo Gaidi aliuwawa Pamoja na kiongozi wa kigaidi wa Hamas, Mohammad Odeh, wafuatao pia waliuawa katika shambulio lililolengwa la Israeli lililompata jana usiku: mkewe, mwanawe Yasser (mwanachama mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas), mwanawe Yahya na binti yake Jamila. Inaonekana walikusanyika pamoja kwa ajili ya likizo ya Eid Al-Adha badala ya wso kuchinja wamechinjwa wao!! Alhamdulilah
Mazishi ya Odeh yatafanyika leo saa sita mchana katika Msikiti wa Al-Nour, kwenye Mtaa wa Ubalozi wa Misri katika Jiji la Gaza. Hadi sasa, Hamas bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu kuangamizwa kwake!!! Watabana weekend Mwisho wataachia wenyewe*
Ndio hata Israel ilianzishwa kwa ugaidi, kupitia Stern, Haganah, na Irgun ndio zilikua zinafanya juhudi za ugaidi ili kulazimisha kuanzishwa kwa taifa la Israel sielewi kwanini hili halizungumziwi.Hawa magaidi wa Hamas wanadanganywa sana na Iran kwamba kupitia ugaidi wataweza kutimiza malengo yao ya kisiasa na mwisho wa siku wanaangamizwa wenyewe.
Israel hapo ndipo kwao hata akina Isaka, Jokobo, Yusufu, Yesu nk walizikwa hapohapo.Ndio hata Israel ilianzishwa kwa ugaidi, kupitia Stern, Haganah, na Irgun ndio zilikua zinafanya juhudi za ugaidi ili kulazimisha kuanzishwa kwa taifa la Israel sielewi kwanini hili halizungumziwi.
But who are you to tell JamiiCheck kuwa wamelala? Uliwaajiri wewe?Punguza ubishi jana usiku niliweka hapa link ya kauli ya Netanyahu na Katz kuwa bado haijawa confirmed kama kauwawa so haikuwa sahihi kupost kabla ya confirmation. Ndio haya haya ukaishia kupost kuwa Qaani, Ghalibaf na Ahmedinejad kuwa wameshakufa ilihali hazikuwahi kuwa confirmed mpaka leo hii. So uwe na subira mpaka kitu kiwe confirmed maana hamna mnayeshindana naye kupost humu.
Kila siku nasema wewe ni Mjinga unaokoteza Propaganda uchwara huko unatuletea hapa una ikweli gani kwa Uharo huo unaoutoa? Tukuamini tu kwa sababu ni mtetezi wa Magaidi? Acha ujinga!!Ndio hata Israel ilianzishwa kwa ugaidi, kupitia Stern, Haganah, na Irgun ndio zilikua zinafanya juhudi za ugaidi ili kulazimisha kuanzishwa kwa taifa la Israel sielewi kwanini hili halizungumziwi.