Mohammed Said request

Hwasha,
Una haki zote na fikra zako kama mimi nilivyo na haki na fikra zangu.
Maisha ya Ali Hassan Mwinyi yasingekuwa na lolote la kuandika kama
si hiyo miaka 10 ya utawala wake kama rais wa Tanzania.

Kwangu mini historia yake hapo ndipo inapoanza.
 
Al gator,
Kwanza ili tuelewane na wewe ujue unazungumza n nani napenda
nikufahamishe kuwa mimi si ''ustadh,'' kama unavyoniita.

Pili nimeombwa nizungumze historia ya Ali Hassan Mwinyi.
Ikiwa unataka mengine itabidi ufungue uzi mpya.
 
Oky, Lakini kuelezea malalamiko ya Mtikila kama yalikua na ukweli au yalikua ni ya uongo kwa 100% bado utakua ndani ya mada.
 
Oky, Lakini kuelezea malalamiko ya Mtikila kama yalikua na ukweli au yalikua ni ya uongo kwa 100% bado utakua ndani ya mada.
Al Gator,
Fungua uzi wa Mtikila.
Utapata wachangiaji wengi sana.

Hapa ni historia ya Ali Hassan Mwinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…