Mohombi Kufanya Collabo na Diamond platnumz

Safari nzuri sana hii kwa collabo za kimataifa, kazi hizi zote pamoja na kidogo, na salome zitaleta Tunzo 2016/2017 mwakani panapo majaaliwa
 
Isije ikawa kama ile ya p square, wimbo wote unaonekana wameimba wao hakuna tofauti na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…