MOI ATAKIWA KULIPA KSH. BILIONI 1.6 KWA KUNYAKUA SHAMBA LA MJANE

MOI ATAKIWA KULIPA KSH. BILIONI 1.6 KWA KUNYAKUA SHAMBA LA MJANE

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
> Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi ameamriwa na Mahakama Kuu jijini Nairobi amlipe fidia ya Ksh. bilioni 1.6 Susan Cheburet Chelungui na mwanawe David Chelungui kwa kosa la kutumia mamlaka yake vibaya na kuwanyang'anya shamba familia hiyo mnamo mwaka 1983

Zaidi, soma https://jamii.app/MoiFidiaShamba


Acha wauanee....... acha wauanee[emoji443][emoji441][emoji442][emoji450][emoji448][emoji447][emoji449][emoji449][emoji446][emoji449][emoji449]
FB_IMG_1558078138064.jpeg
 
Hata Mugabe Mali zake zinapigwa mnada.Wakiwa madarakani uchukua nafasi ya Mungu kuzulumu watu Mali,kuuwa,kufilisu,kuteka,kuwaletea ufukara waafrica
 
Back
Top Bottom