Moise Katumbi ataivusha Congo DR

Moise Katumbi ataivusha Congo DR

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Jana nimepata wasaa wa kumsikikiza Ndugu Moise Katumbi Chapwe katika moja ya mahojiano ya hivi karibuni. Pamoja na kuzungumza mengi lakini mipango miwili ya amani na usalama wa chakula imenifurahisha sana.

Huyu bwana amepanga kumaliza vita mashariki ya DRC ndani ya miezi sita tu.

Pia anataka kuanzisha mpango wa ruzuku kwa wakulima kama ambavyo Serikali yetu afanyavyo hapa Tanzania. Hayo ni mambo MUHIMU sana kwa maendeleo ya kilanda.

Binafsi nitafurahi kuona Ndugu Moise Katumbi anaiongoza Congo. Tafadhani wakongomani mpeni nafasi huyu bwana naye aoneshe uwezo wake.
 
Back
Top Bottom