kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Moise Katumbi ameshauria Serikali ya Congo kuwa waachane na ile imani ambayo Ubelgiji walituachia kuwa uchumi wa nchi yetu utapatikana na dhahabu tu. Waangalie katika ukulima na uvuvi pia.
Yaani ameshauri Serikali ya Congo kufungua bank ya kukopesha wakulima pesa ili Congo tuanze kuzalisha vyakula vingi na pia itasaidia wakongo kupata ajira nyingi na kukuza uchumi wa nchi yetu.